Malinzi maji ya shingo


Duu na hao aliowa-promote wote wamefia mbali
 
Malinzi ajiangalie upya ktk nafasi aliyopo. Wizi na udhalimu si vyema ktk mustakabali wa vilabu vya soka nchini.
 
Malinzi anapoteza dira ya soka la Tanzania! Vitu anavyovisimamia na kuvifanya ni vile vinavyoharibu mwelekeo wa soka letu, sio kujenga!

Tulikwisha waonya humu humu kuwa malinzi yupo pale TFF kibiashara na kujinufaisha yeye binafsi na sio kuendeleza soka lakini hamkusikia, mnaona mambo anayofanya panapo husika fedha!!!
 
Tulikwisha waonya humu humu kuwa malinzi yupo pale TFF kibiashara na kujinufaisha yeye binafsi na sio kuendeleza soka lakini hamkusikia, mnaona mambo anayofanya panapo husika fedha!!!

Huyu jamal apunguze tamaa ya pesa. Anayumbisha sana michezo.
 
Malinzi amefeli kila kitu. Ataondoka TFF kwa aibu sana. Mark my words
 
Ningeshangaa sana kama malinzi angemaliza mwaka kwa mafanikio
 
du watu wa jf ni vigeugeu sana aisee sasa sijui wacjangiaji wengi ni watoto au maana huyo malinzi alivyokuwa anasifiwa hadi tenga akaonekana hana maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…