K KLM New Member Joined Nov 8, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Nov 9, 2012 #1 Hivi huku serengeti kuna serikali jamani yaani wanyama wanauliwa halafu serikali imekaa kimya tuu mh waziri naomba usilifungie jicho hili.
Hivi huku serengeti kuna serikali jamani yaani wanyama wanauliwa halafu serikali imekaa kimya tuu mh waziri naomba usilifungie jicho hili.
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Nov 9, 2012 #2 Kwani wameanza kuuliwa leo ama wewe ndo umegundua leo.Kwa taarifa yako vimoro hivo vya kutokea Serengeti ndo tunapiga huku Break Point - Dar
Kwani wameanza kuuliwa leo ama wewe ndo umegundua leo.Kwa taarifa yako vimoro hivo vya kutokea Serengeti ndo tunapiga huku Break Point - Dar