Mkuu kwa akili ndogo tu huhitaji kuumiza kichwa kuwa mtoto wa Malechela hawezi kupitishwa kwa namna yoyote ile, jamaa si wajinga kiasi hicho. Yuko pale kuongeza pesa za chama tu basi. Kwahiyo acha mzee awemo ili aongeze nguvu ya kumwondoa mapema fisadi Lowasa.