Malalamiko ya wanawake JF Too Much

Watakaosoma ni wengi ila wachache watakuelewa na wengi wao wangefata haya uliyoshauri kulialia jf hakika kungekoma
 
nimesoma hiyo point ya kwanza kwa jinsi ulivyoielezea nimeishia kuskitika tu.

sound like you are woman's worshipper.
 
et ukitaka mahusiano ya mda mrefu tafuta pesa, haya zikisha izo pesa si utakimbiwa ubaki na watoto wako

af umesema unaoa, emu oa kwanza af baada ya mwaka tu ndio urudi hapa utupe mrejesho
 
et ukitaka mahusiano ya mda mrefu tafuta pesa, haya zikisha izo pesa si utakimbiwa ubaki na watoto wako

af umesema unaoa, emu oa kwanza af baada ya mwaka tu ndio urudi hapa utupe mrejesho
Mkuu unanionea tu.... sasa mtoto wa watu utamlisha nini hahaha endekeza dagaa uibiwe
 
nimesoma hiyo point ya kwanza kwa jinsi ulivyoielezea nimeishia kuskitika tu.

sound like you are woman's worshipper.
Lazima ushindwe kuelewa mpaka upitie magumu yanyosababishwa na kukosa pesa. Skiza no matter how Good you are mwanamke anataka security akipata mwanaume ataempa security ya maisha atakuacha tu
 
Fanya sana maombi ndugu yangu asubuhi, mchana na usiku ukimwombea mwenza wako, ndoa yako na kuikabidhi mikononi mwa Mungu.
Hakuna kitu kinachomnyima shetani usingizi kama ndoa. Mungu awatangulie
Kusali kipaji ntajitahidii sanaa sana asante mkuuuuu
 
Sijasoma yote ila kwa ulivyoanza najua tu umeongea vitu vyenye akili.

Mkuu hao wanaolalamika hata wasikupe shida, bado hawajapevuka.
 
"
Me nipo mbioni kuoa mwezi ujao na najua unajisikiaje baada ya kutendwa..."

Mtoa mada ukishaoa njoo uedit thread yako kwa sababu ndoa unapewa cheti kwanza halafu elimu yake unaipata baada ya cheti.

Ukioa, ukiishi miaka mitatu hivi, urudi hapa kuedit post yako.

Siyo kuedit tu, utaifuta kubisa!
 
Sijasoma yote ila kwa ulivyoanza najua tu umeongea vitu vyenye akili.
Mkuu hao wanaolalamika hata wasikupe shida, bado hawajapevuka.

Inategemea na shida zenyewe, but generally, men can't understand women totally.

With exception thereof
 
Umenena Kama mwanaume,wanachosha na vithread vya kulialia kila leo kuhusiana na wanawake,Kama mahusiano na mapenzi yamewashinda si wafanye mambo mengine,wanapoteza hata uhalisia wa wanaume kupotea,mwanaume huwezi kutwa unalia umetendwa sijui na mkeo,sijui demu sijui mchepuko,Kama kiumbe dhaifu na asiye na akili Kama wanawake (Kama msemavyo wanaume wa humu jf)anakushinda utaweza kabidhiwa ofisi ukasimamia kifanisi? family je?waweza imudu?wabadilike wanahisi wanatudhalilisha wanawake badala yake wabajionyesha jinsi walivyo empty na hopeless
 
Inategemea na shida zenyewe, but generally, men can't understand women totally.

With exception thereof
Sasa mtatuelewa vipi jamani na mmegoma kutumia akili?
Sie hatuna shida kabisa.
 
Sasa mtatuelewa vipi jamani na mmegoma kutumia akili?
Sie hatuna shida kabisa.

Na vile mmeumbwa wakati sisi tupo usingizini...

Sijui mnatarajia tuenzeje kuwaelewa
 
Asante, andiko lako limeshawishi nibadili mtazamo wng. Bonge la somooo!!! Pepsi bariiid tafadhali!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…