Malalamiko: Kampuni ya Tigo mnakera

Tigo pesa app hii hapa
 

Attachments

  • 1416292050188.jpg
    62.6 KB · Views: 97
Sijui kama nimekuelewa vizuri, kama nimekuelewa vyema Tigo ndio the best one kwenye e-money na wana app yao kabisa ingia playstore ujipakulie.

Ila kwa huduma zingine kampuni zote hovyo kabisa na wizi wa bunde umeshika kasi.

Sio wote wanatumia smartphones jamaa.. menu yao haieleweki kabisa... Ila kiujumla huduma zao hovyo kabisa.. sijawahi kupiga huduma kwa wateja Tigo ikapokelewa... Achilia mbali matangazo yao ambayo hutupotezea muda tunapopiga sim ...
 
...mie nimelipia toka juzi malipo ya ZUKU lkn mpk leo ZUKU nikiwapigia wanadai hawajapata ...na HUDUMA cjapata ...
nikipiga customer care najibiwa UTUMBO
 
kweli network yao inajump jump, afu wana promotion za kitoto toto, mara saa 5 msg hiyo umeshinda sms 2000 tumia kabla ya saa 6.
 
Hapo kwenye redi nilijua ni mimi tu, nikahisi labda eneo nililopo kumbe ni makusudi tu.

Line yao nimeinunua juzi tu matokea yake tofauti na nilivyotarajia, narudi voda kwa speed zote pamoja na gharama zao lakini hunipa huduma yenye unafuu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…