Malala Yousafzai: Dili la Kimataifa

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
8,596
Reaction score
5,584
Hadithi yake ni ya kufurahisha sana: Amezaliwa July 1997 ina maana ana miaka 17 sasa kama ni shule angeliwa ndio anamalizia O-Level kwa dunia yoyote ambayo angelikuwa.... alikatishwa masomo na Taliban kama inavyosemwa na sasa AMEKATISHWA MASOMO ZAIDI NA UANAHARAKATI wa KUTETEA WATOTO WA KIKE WASOME!!! Kinachonishangaza YEYE NI MTOTO WA KIKE PIA JE HATAKIWI KUSOMA? amekuwa mtalii kuliko VASCO DA GAMA! akitoka kaskazini kwenda magharibi na kusini kwenda kaskazini.

Baada ya KUTAFAKARI nimegundua KUNA WATU (MATAIFA) FULANI YAMEMFANYA KUWA DILI KWA SABABU YAMESHAFILISIKA KITAMBO NAYO YANAISHI KWA MSAADA KAMA NCHI ZA DUNIA YA TATU! NA ILI KUFANYA HIVYO ILIBIDI KWANZA WAMTUZE TUZO YA AMANI (BADALA YA TUZO YA ELIMU!!!)
===================================

 
Sijaelewa bado, nahisi bado nina viroba kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…