Malaigwanan wazidi kumbana Lowassa

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,767
Reaction score
288,340
Malaigwanan wazidi kumbana Lowassa
 
Mimi ninavyojua na kufahamu ni kwamba mambo katika jimbo la MONDULI ni swari na hakuna mpasuko wowote,haya maneno ya kutengeneza tengeneza sijui yatawafikisha wapi,
USHAURI jamani ballot box ndo msema kweli kwanini tusisubiri tuone atakayepitishwa ndo tuongee haya maneno?
 
Sitaki kuamini kama utawala wa kifalme unataka kuingia ktk nchi yetu.
 
mkuu monduli hali si shwari hata kidogo wananchi hawakubaliani na hatua ya lowassa kutembea na "jina la mbunge kwenye mfuko wake wa shati" wanataka demokrasia ichukue mkondo wake kila mwenye uwezo agombee na sanduku la kura liamue nani awe mbunge.

lakini pia wamechoshwa kuchaguliwa viongozi kwa miaka 20 na lowasa ambaye amekuwa akiwpendekeza watu wenye uwezo mdogo kioungozi kwa maslahi yake ya kisiasa
 
Pris dar.lowasa mpango mzimq muokozi wetu.baba msaidie
 
Demokrasia haipo jumbo LA Monduli!Lowassa anaibaka demokrasia kama atakavyo na cha kushangaza ni kuwa hawa viongozi wa kimila anaowapiga stop ndo huwa anawalaghai kwa pombe Na nyama wampigie debe ila tu kwa kuwa sasa wamemshtukia ndo sababu ya kuwazuia kuendelea Na shughuli Zhao kupitia mkuu wa wilaya! Wananchi was Monduli tumechoshwa Na tabia hizi za kuchaguliwa viongozi jumbo LA Monduli!NEC ya CCM macho yenu hayaoni huku chini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…