Makubwa

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,339
Reaction score
38,701
Lo sikumojamoja rudini mapema nyumbani,,Leo sijaenda mzigo salsa hapa jirani kunakabinti ka hgrl kumbe bosiwake akiondoka analeta hboy wa jirani anakunywa chai wanavunja amriyasita wanaondoka....Leo bosi karudi emergency asikute binti AMEmkalia kwa juu HBOy wa jirani Watuwamejaa walivyowajinga wanamlalamikia ati bosi ulitakakulaweweeeee jamaa back kafungiwa ndani wanasubiri mzee was serikalizamitaa sijui kimenasa huko kama wale was temeke


Somo zuri. Muwe mnarudi HME maramojamoja unawezakuta watoto wanaumwa ovyo hujui kumbe wanashikwa na Dada hata kabla ajaoga baada ya shuguli unaishia ,tmj..aar kilasiku
 
mkuu nakushauri ufungue blog yako, uwe una piga hela kama le mutuz, maana huishi matukio
 
Hahahahaha........lakini Pdidy wewe kiboko.Hiyo simu unayoitumia kaa chini ujifunze kuandika bana.....
 
sawa pdidy tutakuwa tunavizia ila umenipa tabu sana kukuelewa
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa huyo bosi naeee anakaba adi penat
 
Kweli cute b
Hata m nashauri mkiyakuta kwenu huko wambienwakaoge kwanza tena bafu la ndani baadae unawaaga kwa amani wote
 
Wale no binadamu wAnaitaji kupendwa so ama uamue jumamosi watoke warudi jioni kamawangu ten a unawaombawaoge moyakwamoya
Easy
 
Teh teh teh... Pdidy.....
 
Last edited by a moderator:
Kabanga usifumanie ni dhambi wanaitaji upendopia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…