Aise Tall, hapa umetudanganya, na ungana na wote wanaoamini hii stori ni ya kutunga, isiyo na uhalisia. face book mostly watu huonyesha picha zao za ukweli, na majina yao pia. kama ni hivyo basi mke na mume wote si waaminifu, kwani lazima iwe wanalaini za simu tofauti na wazitumiazo kwa mwenza, lazima wangeshtuka. na kujutia face book si kweli, he has to be responsible for his actions, face book mtandao bora kabisa unaounganisha marafiki na watu mbalimabali, hauwatumi watu kuwasaliti wapenzi wao.