Traffic akikukamata anatakiwa akuandikie notification ambayo unatakiwa ukalipe ndani ya siku saba na upewe stakabadhi. Wengi wetu tunalipa papo hapo na bila ya kupewa stakabadhi na badala yake tunapewa notification tu, kitu ambacho si sahihi. Kwa hiyo mahakamani hupelekwi immediate ilaa ni baada ya siku za notification kwisha