Makontena yanauzwa.

Ommylady

Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
23
Reaction score
4
Makontena mawili yaliyokuwa yakitumika kwa biashara ya kuuzia simu na Mpesa yanauzwa yana air condition. Bei maelewano.
 
Hakuna kitu kinaitwa bei maelewano kiongozi.

Wewe weka bei unayokusudia kisha wanunuzi wa ukweli watakutafuta kwa maelewano sasa.

Ushauri tu.....
 
Makontena mawili yaliyokuwa yakitumika kwa biashara ya kuuzia simu na Mpesa yanauzwa yana air condition. Bei maelewano.

Bei tafadhali kuna mtu namjua alikuwa anayahitaji sana..!

Sent from my iPhone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…