M mkizy Member Joined Oct 16, 2016 Posts 7 Reaction score 0 Oct 17, 2016 #1 Walio husika na kupotea kwa Makontena 100 wakalia kuti kavu THE WARRIOR : Walio husika na kupotea kwa Makontena 100 wakalia kuti kavu
Walio husika na kupotea kwa Makontena 100 wakalia kuti kavu THE WARRIOR : Walio husika na kupotea kwa Makontena 100 wakalia kuti kavu
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,169 Oct 17, 2016 #2 Sema lolote ila kusijekuwepo wale wa matawi ya juu. Mahakama ya ufisadi haikutengenezewa hao wa matawi ya juu, sivyo wengi leo tusingeli waona mitaani mpaka sasa tena bila wasiwasi wowote.
Sema lolote ila kusijekuwepo wale wa matawi ya juu. Mahakama ya ufisadi haikutengenezewa hao wa matawi ya juu, sivyo wengi leo tusingeli waona mitaani mpaka sasa tena bila wasiwasi wowote.