Unazo legal documents for ownership?...kinyume cha hapo hakuna biashara coz i need like 4 containers za 20 ft...na hiyo bei yako iko nje sana ya budget yetu...think of 3m per container ila sharti liwe linavielelezo vya umiliki halali ...
Sio unanunua kisha interpol wanakucha kukukamata kkwa kuwa na kibebeo kilichobebea mali iliyoibwa ugiriki mie niliyenunua tanzania nifungwe...namaanisha