Kinondoni hapafai Idara ya mipango miji , Ardhi, Uthamini Na Upimaji no balaa tupu wapo pale kibiashara kurekebisha Mchoro wa mipango miji ni Mamilioni, kuandaliwa au kubadili jina ni Mamilioni, Kuthaminisha Nyumba au mazao ni balaa Kupima Kiwanja au Kufufua mipaka in Mamilioni yaani ni Ofisi ya wafanyabiashara sio ya serikali