mbongowakweli JF-Expert Member Joined Aug 24, 2011 Posts 848 Reaction score 685 May 10, 2018 #1 BREAKING NEWS: Rc Makonda Anazungumza Muda Huu via YouTube
NIYOMBARE JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,718 Reaction score 4,229 May 10, 2018 #2 Anazungumzia nini?
kikurunge JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 669 Reaction score 661 May 10, 2018 #4 Lile zoezi la tezi naniliiiiii ndio ana zindua Leo?
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,351 Reaction score 12,687 May 10, 2018 #5 Wanaume wa dar wajiandae kupimwa tez dume
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 May 10, 2018 #6 Live kwenye TV gani, kama ni TBC nasubiri updates
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,297 Reaction score 28,006 May 10, 2018 #7 hivi tulilishwa tango pori....!
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 May 10, 2018 #8 Agustino87 said: Wanaume wa dar wajiandae kupimwa tez dume Click to expand... Mimi nitachukua likizo na kukimbilia mbeya maana watu wa kule hawawezi kukubali upimaji wa aina hiyo anaoutaka makonda
Agustino87 said: Wanaume wa dar wajiandae kupimwa tez dume Click to expand... Mimi nitachukua likizo na kukimbilia mbeya maana watu wa kule hawawezi kukubali upimaji wa aina hiyo anaoutaka makonda
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,351 Reaction score 12,687 May 10, 2018 #9 MKWEPA KODI said: Mimi nitachukua likizo na kukimbilia mbeya maana watu wa kule hawawezi kukubali upimaji wa aina hiyo anaoutaka makonda Click to expand... Mkuu utafatiliwa huko huko mbeya upimwe kwa siri. Nasikiaga serikali ina mkono mrefu sana
MKWEPA KODI said: Mimi nitachukua likizo na kukimbilia mbeya maana watu wa kule hawawezi kukubali upimaji wa aina hiyo anaoutaka makonda Click to expand... Mkuu utafatiliwa huko huko mbeya upimwe kwa siri. Nasikiaga serikali ina mkono mrefu sana
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 May 10, 2018 #10 NIYOMBARE said: Anazungumzia nini? Click to expand... Hakuna cha maana zaidi ya kutafuta sifa
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 May 10, 2018 #11 Agustino87 said: Mkuu utafatiliwa huko huko mbeya upimwe kwa siri. Nasikiaga serikali ina mkono mrefu sana Click to expand... Mkuu watu wa mbeya hawana tofauti na watu wa musoma, hao watu wasiojulikana wakija mbeya ndiyo utakuwa mwisho wao, watachunwa na ngozi
Agustino87 said: Mkuu utafatiliwa huko huko mbeya upimwe kwa siri. Nasikiaga serikali ina mkono mrefu sana Click to expand... Mkuu watu wa mbeya hawana tofauti na watu wa musoma, hao watu wasiojulikana wakija mbeya ndiyo utakuwa mwisho wao, watachunwa na ngozi
Pakawa JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 8,205 Reaction score 14,131 May 10, 2018 #12 Amekurupuka baada ya kuandikwa jana humu JF kiboko Haya ongea utumbo wenye akili za kukopa wakusikilize
Amekurupuka baada ya kuandikwa jana humu JF kiboko Haya ongea utumbo wenye akili za kukopa wakusikilize
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,940 Reaction score 8,889 May 10, 2018 #13 Atakayesikia aandike. Unaweza ufungue ukute ni clip ya long.
N nzagambadume JF-Expert Member Joined Apr 9, 2018 Posts 2,430 Reaction score 5,784 May 10, 2018 #14 wanaume wa dar mjiandae kupimwa tezi dume na mc D bash wa kolomije,Ky jelly lazima ihusike chezeeea bash boy wewe,had dege la emirates la waarabu likatua dar kuja kushuhudia zoezi kumbe tarehe ilikuwa haijafika
wanaume wa dar mjiandae kupimwa tezi dume na mc D bash wa kolomije,Ky jelly lazima ihusike chezeeea bash boy wewe,had dege la emirates la waarabu likatua dar kuja kushuhudia zoezi kumbe tarehe ilikuwa haijafika
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,436 May 10, 2018 #15 Lubricant zimepatikana za kutosha tayari kwa kuanza zoezi la upimaji
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,201 Reaction score 29,762 May 10, 2018 #16 Vyeti ameonesha?
M-mbabe JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 13,201 Reaction score 23,030 May 10, 2018 #17 mbongowakweli said: BREAKING NEWS: Rc Makonda Anazungumza Muda Huu via YouTube Click to expand... anakuja kutangaza incubator imejibu, nini?
mbongowakweli said: BREAKING NEWS: Rc Makonda Anazungumza Muda Huu via YouTube Click to expand... anakuja kutangaza incubator imejibu, nini?