Makonda Jaribu Hii

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267

Titos Madzoke is a Mayor if the City of Kwekwe in Zimbabwe. The City wanted to buy him a $68,000 motor vehicle but he refused and prefers to use his bicycle to go for work. He says it makes him get closer to the people and to listen to their problems and share in their struggles while moving on potholed roads. He only gets $260 in salary.
 
Wanayaweza wa hukohuko ila huku kwetu hawana mawazo kama hayo.

Matatizo ya wananchi wanayasikiliza wakitaka kura tu.
 
Wanayaweza wa hukohuko ila huku kwetu hawana mawazo kama hayo.

Matatizo ya wananchi wanayasikiliza wakitaka kura tu.
mbona Zim ni jirani sana Afrika hiii hii au hao ndi wenye uchungu zaidi?
 
Mtoto wa mkulima na misafara ya magari ya kifahari saannaaaaa
 



ni swali tu, hiyo if ina manaana gani hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…