MAKONDA FOUNDATION

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,776
Reaction score
63,042
Taasisi ya MAKONDA FOUNDATION inayomilikiwa na Mbunge wa Arusha Mjini ambaye pia ni Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo, inaendesha programu maalumu ya MSAADA WA KISHERIA, inawakaribisha wananchi wa Arusha Mjini kwenye Ofisi ya Mhe Mbunge Ofisi za Halmashauri ya Jiji.

 
Good Job Mheshimiwa mwenye Maono
 
"Mojawapo ya adhabu za kukataa kushiriki katika siasa ni kuishia kutawaliwa na watu walio chini yako kwa uwezo au uelewa"

PLATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…