Hivyo vya hapo juu ni kweli mimi ni shahidi. Nikila nyama ya ng’ombe mfululizo huwa ninakosa amani, sikuhizi hata mahindi mabichi ya kuchoms au kuchemsha yananipa shida.Hivyo vyakula ulivyo list kuna uwezekano mkubwa vina uhusiano na tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mimi ni maziwa na mayai ndio yananiletea hali ya mafua na pua kuzibaHivyo vya hapo juu ni kweli mimi ni shahidi. Nikila nyama ya ng’ombe mfululizo huwa ninakosa amani, sikuhizi hata mahindi mabichi ya kuchoms au kuchemsha yananipa shida.
Inabidi ni safishe mdomo kila saa kuondoa mucus.
Mkuu hii hata mimi inanisumbua imebidi nibadili life style kabisa, breakfast nilizoea yai la kuchemsha na ki yoghurt, sasa inabidi mitafute water melon, nanasi au maembe.Pole sana mimi ni maziwa na mayai ndio yananiletea hali ya mafua na pua kuziba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii hata mimi inanisumbua imebidi nibadili life style kabisa, breakfast nilizoea yai la kuchemsha na ki yoghurt, sasa inabidi mitafute water melon, nanasi au maembe.
Labda hatujaelewanaKuona watu husumbuliwa na excess production ya mucus na huhisi kutapika kala wakati
Ahsante kwa elimu mkuu. Mimi mhanga wa makohozi, yananisumbua kweli. Ngoja nijaribu limao
Umefanya allergy test?Aisee mie naambiwa ni aleji, aisee kila mwaka kuanzia mwezi wa tatu mafua hadi wa nne, huu muda naandika napumlia mdomoni.
Please naomba kujua tiba.
Kwa sasa natumia dawa zinaitwa citizen
Sent using Jamii Forums mobile app
unasafishaje kuondoa mucas kwa uelewa wangu mucas haizalishwi mdomonHivyo vya hapo juu ni kweli mimi ni shahidi. Nikila nyama ya ng’ombe mfululizo huwa ninakosa amani, sikuhizi hata mahindi mabichi ya kuchoms au kuchemsha yananipa shida.
Inabidi ni safishe mdomo kila saa kuondoa mucus.