Makochi (sofa) yanauzwa

amani kaseko

Member
Joined
May 16, 2013
Posts
65
Reaction score
30
...Nauza makochi(sofa) kitambaa na rangi: Leather nyeusi.. Ni set nzima yaani makochi madogo mawili, kochi la watu wawili na kochi kubwa la watu watatu..Yapo kwenye conditions nzuri sana.. bei ni laki sita (600,000)..kwa anayehitaji anaweza kunipm nikamtumia Picha via whatsup....Namba yangu ni 0713 590607..Asanteni
 
Na kwa nn usingeweka picha hapahapa japo moja au mbili? Mpaka tukufate huko whatsapp? Huoni ni hatari?
 
Na kwa nn usingeweka picha hapahapa japo moja au mbili? Mpaka tukufate huko whatsapp? Huoni ni hatari?
....Mkuu napata tatizo ku upload picha kwenye jukwaaa ndio maana nimetumia option ya kutuma kwa whatsup....Nashukuru
 
...Biashara imekwisha... Asante sana Jamii forum na wadau wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…