Unasema hana mume? hivi kweli unawaelewa watu wa ccm wewe!Hivi ilkuwaje akapewa uongozi wakati hata hana mume. Mi nnachojua uongozi mkubwa kama huo inafaa apewe mtu anayejua walau kuongoza hata ktk ngazi ya famili kama ilivyo kwa rais. People of her spinster life style ni social problem wanapopewa uongozi
It is too early kujua yuko kambi gani, maana wana CCM wengi ni bendera fuata upepo, hubadilisha misimamo kutokana na mwelekeo wa upepo.
Lakini kulingana na Pasco [member wa JF], alisema akimnukuu Rostam Aziz kwamba, Rostam Aziz ndiye aliyemmaliza Msekwa na kumpa u-Spika Anko Sam Six, na pia ndiye aliyemnyang'anya u-Spika Sam Six na kumpa Mama Makinda. To what extent hiyo connection ilivyo, mimi sina hakika. Sitta mwenyewe alishakiri ITV kwamba waliommaliza kwenye u-Spika ni mafisadi, so inawezakana kuna ukweli mkubwa.
So, kama Makinda aliwekwa hapo kwa nguvu za RA, na RA ni rafiki/mshikaji wa EL, then huyo mama atakuwa kambi ya EL. Lakini ni mapema sana, siasa ndani ya CCM sasa hivi hazieleweki, wengi wao ni vinyonga.
Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona Speaker Makinda akisema kuwa kuna wanasiasa wanawadanganya wananchi,
lakini wanasiasa hao wajue kuwa jinsi siku zinavyokwenda uongo wao unagundulika na wataumbuka. Binafsi nakubaliana na Mheshimiwa Speaker na kuwasihi viongozi kuwa wakweli na waadilifu kwa wananchi.
Mi kwakweki naudhika sana ninaposikia Spika wa Bunge la nchi yetu(Tanzania) anaongeaongea bila kujua anachokiongea kina madhara gani au kitatafsiriwa vipi na wanaomsikiliza; imekua ni kama desturi yake Bi-kiroboto, kutoa matamuko ambayo ayaendani kabisa na hadhi yake, yeye si kiongozi wakuibuka na kuanza kutuhumu viongozi wenzake wakati yeye mambo anayapeleka mrama, kwa nafasi yake ana uwezo kabisa kuonana na hao anaowahita wahongo na kushauriana na nao kabla ajaenda kwenye media. Kwa hali hii imani kwa waliokuwa wanamuona kama Mungu mtu imepungua kabisa na inabidi aanze kujiuliza ni nini alichowafanyia wananchi wake!.Naungana sana na wewe miaka yote hii aliyokuwepo bungeni kaifanyia nini Tanzania na Njombe kwa ujumla,Jimboni kwake kuna vyanzo vingi vya mapato ,maji aridhi yenye rutuba,Nasikitika sana njombe Maji yanasumbua kuna kakipande karami kama kilometer 1,wananchi wake wanashindwa kwakupata matibabu,Hospital iliyokuwepo kaiua mwenyewe kisiasa.Sasa huku mama anataka kutwambia nini huyu,? Hana jipya akae kimya tu
ndio maana nampendaga saana huyu mama. huwa anafyatuka tu bila kujali ni wapi aongee nini na kwa wakati gani...
Hata yeye yupo kwenye kundi la wanasiasa wanaotudanganya wananchi.Juzi ametudanganya kwamba Dodoma maisha yamepanda kwa wabunge tu.Tena yeye ndiyo kinara wa wadanganyaji.
Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona Speaker Makinda akisema kuwa kuna wanasiasa wanawadanganya wananchi,
lakini wanasiasa hao wajue kuwa jinsi siku zinavyokwenda uongo wao unagundulika na wataumbuka. Binafsi nakubaliana na Mheshimiwa Speaker na kuwasihi viongozi kuwa wakweli na waadilifu kwa wananchi.
Mkuu nadhani hukuelewa kuwa nafsini mwa Makinda alimaanisha kuwa wanasiasa wanadanganya wananchi wanaposema kuwa ongezeko la posho si halali kwa wabunge ilhali (kwa maoni ya Makinda) ni halali.Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona Speaker Makinda akisema kuwa kuna wanasiasa wanawadanganya wananchi,