Make-up zinatudanganya wanaume

Kipnd mwngne akitumia internet kutafuta ajira na kufanya ajir mwngne anakuambia nguvu ya adimin kupata mchumba
 
Timbwili,uliingia choo cha kike,wallah! wallah!
 
Pole sana mkuu ila na mm 1day nlimpata bonge la toto zur kwel kwel kama kashushwa hajazaliwa chaajabu kuamka asubuh baada ya kuoga mkuu kama kabanikwa mbaya cjui alijipiga fila na rangi aisee au n kiini macho jaman ndugu zangu
 
Taharifa nzito hii bila picha hainogi mkuu
 
Safiiii angekula mpaka banana na mapple yake mnapendwa hamtaki tuwafanyaje sisi kimewatokea halafu mnakuja kutupa presha humj.
 
Wanakwambia uzuri wa Demu kwenye mitandao ya kijamii inategemea anatumia cm gan
 
Pole sana mkuu ila na mm 1day nlimpata bonge la toto zur kwel kwel kama kashushwa hajazaliwa chaajabu kuamka asubuh baada ya kuoga mkuu kama kabanikwa mbaya cjui alijipiga fila na rangi aisee au n kiini macho jaman ndugu zangu
Makeup hizi
 
Dr Shika Again.
 
Safiiiii ushaliwa hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mm Hata kama girl nimekutana nae mtandaoni siwez tongoza au kumtumia pesa bila kuonana nae face to face
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…