Asante, mkuu kwa hoja yako. Mzazi, uzoefu wetu katika huduma zetu umeanzia, chuoni, miaka 21 mpaka hivi sasa, ukaendelea katika shule mbalimbali za binafsi, na mwisho tukafungua ofisi yetu na sasa tunaongoza njia ya kuinua mtoto mmoja popote alipo. Tuna toa "inspirational talk" kwa mawasiliano yetu ya simu, dakika 10 tu, na ni bure. Ratiba yetu ya kuitikia wito ni siku zote saba za wiki, tunakuwa ofisini kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa tatu usiku. Ni jukumu letu kuhakikisha mtoto, anazikabili changamoto zote za kimasomo, kiakili. Tumebobea katika neuro- psychology grounds.