Nimekuwa najiuliza sana kwanini siku hizi
Wanawake wamekuwa Vicheche
balaa....Hawatulii...Sio kama zamani...Na
nimepata jibu sasa....Sio kosa lao wala
NI KOSA LETU WANAUME
Hawatulii kwa sababu HATUWATULIZI
Zamani ilikuwa rahisi kusikia Wanawake
wakihadithiana "Yaani My Man ananiduu
mpaka natamani nikimbie kitanda"..Siku hizi
hizo stori utazisikia mara 1 kwa miaka
3...Wanaume Kazi kushnehi
Tunawapa shida Wanawake...Hata walioolewa
siku hizi ndo maana wanakimbilia nje kutafuta
pumziko...Zamani ilikuwa nadra sana Mke wa
mtu kuliwa nje...ila siku hizi dakika 2
tu...wanavumilia wanachoka...unamgusagusa
utadhani dadako huyo...Mpe vyombo aombe
Poo...
KOSA NI LETU WANAUME
Dakika 3 tu unatiririka na kibamia chako na
mbilimbi...Unakoroma...hujui mkeo yuko
njiapanda ya GB au Mataa ya
Sayansi...Unategemea nini??
Endekeza tu Bia...Burger..Broiler
Chicken...Ukifika uwanja wa Taifa unapaisha
Penati
Mwanamke Mpe Vogue Mfungulie kila
biashara.. Muachie na ATM yako yenye
Mabilioni ya EPA na KAGODA...Kama Bed
Tennis unachemka atachepuka tu
Wanaume wa Kibongo nipigeni Mawe lakini
tumeishiwa Sanaa ya Kitanda..Tunafikiri
tukihonga na kum-monitor yuko wapi na nani
anafanya nini ndo Mahaba...Ukipewa unarukia
tu kama bata mzinga...Nje kifua
kikubwa....unatinga suti..gari kaliii...Haya
chakula hiki hapa baba kula...unaishia
kusomola somola tu na kumchafua mdada wa
watu anabakia anasonya kimoyomoyo..CHAgua moja mapenzi au kam huwezi achana nayo
Jifunze Mapenzi kwanza lasivyo ACHANA
NAYO