MaKAVU LIVE PART 3


Kweli mrembo... Ingawa kuna harufu zingine mtu hajisikii. Kwa mfano mtu akiwa na tatizo la kinywa akawa ananuka mdomo, anaweza asijigundue, asipokuwa makini sana...
 

hivi chupi nyeusi, nyekundu, njano na kijani, zipo kwaajili ya kina nani?
 
hivi chupi nyeusi, nyekundu, njano na kijani, zipo kwaajili ya kina nani?

Hahahaha zipo kwa ajili ya wachafu, na wavivu. Ila kwa wasafi nyeupe, pink, light blue na nyingine za kuendana na hizi ndo rangi zao.
 
hujapenda kwa dhati bado,mie nilimkuta msukuma na matabia ya kuvaa boxer za marangi rangi, nilikuwa nakereka kweli kweli but nilikuwa nashindwa kumwambia, nimwambie kwani mie nani? siku niliyokuwa mchumba wake kesho yake alikuta nimechoma boxers,sox,vesti, kuanzia hapo alianza kuvaa vyeupe,aisee mie kwanza machupi ya marangi nahisi hazipatani na mie kabisa, nilijaribugi red kwa maoni ya thread fulani humu ndani but nilikuja kuishindwa aisee!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…