Makataba wa DP usingepitishwa Tanzania ingeshitakiwa

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,689
Reaction score
2,859
Niende moja kwa moja!

Kwa maelezo ya Mtaalamu wa mikataba ya kimataifa Dr. Nyanje wa Nyanje, anasema, Makubaliano ya awali ya Mkataba yanakitaka kifungu 25 (Article 25) cha mkataba kutobadilika.

Hivyo basi kama Bunge lingekataa kupitisha mkataba huo, Serikali ingeshitakiwa kwa kosa la kuwanyima wawekezaji nia ya kuwekeza. Kwa maelezo zaidi Masikilize Mtaalamu kwenye attachment hapo chini.


Wasalaamu!
Your browser is not able to display this video.
 
Zittow: Nchi IMEVIMBA tena!!!!

Wacha tukae na maumivu yetu, ila IPO siku tutainuka na kushangilia tena.
 
Huyu naye ni dokta wa jalalani university au mitishamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…