xhuming2019
Member
- Jan 6, 2019
- 10
- 3
Atakuambia njoo PM.Gharama zake kwa nyumba ya kawaida kama hiyo kwenye picha?
Samahani kwa kuchelewa kujibu nilipata msiba mkuu Jinsi mfumo huu unavyotengenezwa maji yanaenda ardhini namatumizi yako sisi tunatoka warranty ya miaka 5 lakiniVery interesting! Elimu kidogo maji machafu yanaenda wapi. Na umri wake wa matumiza ni miaka mingapi??
Jinsi mfumo huu unavyotengenezwa maji yanaenda ardhini namatumizi yako sisi tunatoka warranty ya miaka 5 lakini
Gharama za mfumo huu ni 2M ila wewe hauta nunua kitu chochote haya makaro tunayatengeneza ofisini kwetu tunakuja kuyaweka kwenye site yakoGharama zake kwa nyumba ya kawaida kama hiyo kwenye picha?
Mimi nikitaka karo pekee ni kiasi gani mtaniuzia na vifaa vyakeGharama za mfumo huu ni 2M ila wewe hauta nunua kitu chochote haya makaro tunayatengeneza ofisini kwetu tunakuja kuyaweka kwenye site yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nikitaka karo pekee ni kiasi gani mtaniuzia na vifaa vyakeGharama za mfumo huu ni 2M ila wewe hauta nunua kitu chochote haya makaro tunayatengeneza ofisini kwetu tunakuja kuyaweka kwenye site yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Kitu je ina Faa Dodoma? kuna sehemu kuna chem chemi kipindi cha mvuaKaribu Tanzania Septic Solutions tukupe ushauri na kukujengea makaro ya kisasa ya choo yasiyojaa katika kipindi chote cha matumizi yake tupigie number 0672 883 447 kwa maelezo zaidi na kutembelea site yako ni bure kwa wakazi wa dar es salaam
1. Shimo halitajaa katika kipindi chote cha matumizi yake
2.Inachukua eneo dogo sana la eneo la kiwanja chako shimo linakuwa na urefu wa mita moja tu na upana wa mita moja
Karibuni sana
3.Kampuni inakupa guarantee ya miaka 5
4. Makaro haya hayana harufu wala wadudu
5.Makaro hayaHayachagui udongo
6.Tunayo ya size tofauti kulingana na idadi ya watumiaji kama, Shule,familia ,hospital,hotels nk
KARIBUNI TUPIGIE
0672 883 447
AU NJOO DM KWA MAELEZO ZAIDI
View attachment 992714View attachment 992716View attachment 992718View attachment 992719View attachment 992726
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei poa sh ngapi?mil 2 mnachukua na kinyesi au? huku chalinze hayo bei poa tuu
Bei poa sh ngapi?
Daah mkuu si imepungua 20,000 tu hapo1,980,000 mkuu
Daah mkuu si imepungua 20,000 tu hapo