M Madodi Senior Member Joined Apr 10, 2011 Posts 176 Reaction score 60 Feb 21, 2012 #1 habari zenu jaman, hivi kazi ya makamu wa Rais ni ipi?? Maana naona jamaa kila kukicha anazindua mara shule,mara hospital mpaka baadhi ya wadau wanasema eti anatembea na mkasi mfukoni kwa ajili ya kukata utepe! Jion njema
habari zenu jaman, hivi kazi ya makamu wa Rais ni ipi?? Maana naona jamaa kila kukicha anazindua mara shule,mara hospital mpaka baadhi ya wadau wanasema eti anatembea na mkasi mfukoni kwa ajili ya kukata utepe! Jion njema
Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,166 Feb 21, 2012 #2 Hiyo ndo kazi yake.
M Madodi Senior Member Joined Apr 10, 2011 Posts 176 Reaction score 60 Feb 21, 2012 Thread starter #3 Kabakabana said: Hiyo ndo kazi yake. Click to expand... ina maana yeye safari za nje hazimuhusu eeh??
Kabakabana said: Hiyo ndo kazi yake. Click to expand... ina maana yeye safari za nje hazimuhusu eeh??
Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,166 Feb 21, 2012 #4 Madodi said: ina maana yeye safari za nje hazimuhusu eeh?? Click to expand... hizo ni za bosi wake.
M Madodi Senior Member Joined Apr 10, 2011 Posts 176 Reaction score 60 Feb 21, 2012 Thread starter #5 Kabakabana said: hizo ni za bosi wake. Click to expand... wadau wanasema jamaa anaandaliwa kumrithi jk 2015..si itakuwa ndo kifo cha ccm??
Kabakabana said: hizo ni za bosi wake. Click to expand... wadau wanasema jamaa anaandaliwa kumrithi jk 2015..si itakuwa ndo kifo cha ccm??
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Feb 21, 2012 #6 chit chated politics
trachomatis JF-Expert Member Joined Jun 7, 2011 Posts 3,758 Reaction score 746 Feb 21, 2012 #7 Kagoogle utaziona tu...@ Madodi
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Feb 21, 2012 #8 i see.................