Makambo ni bonge la mchezaji!!

Arabi Nanjewa

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2017
Posts
325
Reaction score
411
Ni ukweli usiopingika huyu jamaa (makambo) ni mchezaji mzuri sana, naiona yanga bora iliyosajili kwa akili kubwa sana hasa kuongezeka kwa makambo, feisali, ngassa, kaseke na kindoki, hakika hawa jamaa wanaonyesha kiwango bora sana kunako dimba, muda utakua shahidi ila makambo namuona aking'ara sana msimu huu. Hakika timu pinzan na yanga zijiandae kisaikolojia
 
Mhhh Ngassa uliyemtaja hapo ni yule yule tunayemfahamu hata sisi tusiofuatilia soka la bongo?

Wachezaji wa kibongo huwa hawzeeki? Tunazaliwa wanacheza soka hadi tunaanza kufyatua na kusomesha wao wamo tu dimbani duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngasa ana miaka 21 bado sana kuzeeka....hahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…