saimon amos
Member
- Dec 31, 2018
- 16
- 7
Hawataiweza kwakweli ,,Ya kwenu yanawashinda mna hangaika na ya Yanga! Achaneni na timu ya wanainchi hamtaiweza kamwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni dhana ya mtu asiye na akili! Ya Makambo yanawahusu nini? Kwa taarifa yako Makambo ametoka hotelini na begi lake kwasabb amepangiwa nyumba, wewe baki na uzushi wako huku mashujaa wakikutia aibu ... Mbumbumbu always is mbumbumbu

no research no right to speak bwana mdgMshambuliaji wa timu ya soka ya Yanga Heritier Makambo ametoweka katika klabu hiyo bila uongozi kuwa na taarifa yeyote.
Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa Makambo ametoweka na mabegi yake katika hotel aliyokuwa akiishi bila taarifa rasmi huku simu yake ikiwa haipatikani hewani.View attachment 994102
Sent using Jamii Forums mobile app
vip kasharud maana hili suala nililisikia jana cloudsno research no right to speak bwana mdg
Hili bakuli linafanana na la marehemu matonya
Lkn linawasaidia kuongoza ligi.Hili bakuli linafanana na la marehemu matonya
!