Makamanda katika kubadilishana mawazo

People’s Powerrrrrrrrrrrrr

✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾

QUOTE="Salary Slip, post: 30927156, member: 84376"]Kabla ya CC leo, fursa ya kuteta na wajumbe wenzangu mambo mbalimbali wakati wote inaleta furaha na matuini. Chadema ni tumaini kwa Watanzania.



[/QUOTE]
 
[/QUOTE]
Hawa makamanda nawakubali sana!
 
Ushauri wangu tu wa bure imalisheni kitengo chenu cha usalama, naona mnapigwa pigwa sana kirahisi. Naona hamna kuaminiana tena.

..kama mke/mume wa mtu anaweza kurubuniwa kwanini unashangaa mbunge akirubuniwa?

..hoja ya cdm kuwa na " intelligence " organ inanishangaza kidogo.

..nilidhani asasi za KIRAIA ikiwemo vyama vya siasa havihitaji kuwa na vikosi vya wanausalama.

..kwa upande mwingine, kama kuna chama /kikundi kinarubuni viongozi /wanachama wa chama kingine kwa fedha, au vitisho, suala hilo naamini linaangukia kwenye makosa ya JINAI na RUSHWA.

..katika mazingira hayo vyombo vya dola vinatakiwa viingilie kati na kukomesha mambo hayo.

..ushauri wangu kwa cdm ni wajiimarishe zaidi ili kwamba hata viongozi na wabunge wao wakirubuniwa wawe wepesi kuwa-replace bila ushawishi, ufanisi, na utendaji, wa chama kuathirika.

..kuna kipindi Gen.Ho Chi Min alipokuwa anapigana na Wamarekani ktk vita ya Vietnam alisema kwa kila askari wake mmoja anayeuawa anao askari kumi wa akiba. Kwa msingi huo Ho Chi Min alisema alikuwa na uhakika wa kuwashinda Wamarekani kwa asilimia 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…