CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,087
- 5,352
Ccm mmetuletea wananchi umaskini kwa miaka 60 tangu uhuru! Nyerere alituachia viwanda vingi nyie mmejiuzia. Karne hii bado tunazingumzia matundu ya choo, kuna shule hazina madawati wengine wanasomea chini ya miembe. Ondokeni hatuwataki tena. Tunachagua hao wapinzani watatufaa sanaView attachment 3161492
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema vyama vya upinzani haviaminiki, wala viongozi wao hawaaminiani, hivyo wagombea wake hawastahili kuchaguliwa...
Nyerere alikuwa chama gani?Ccm mmetuletea wananchi umaskini kwa miaka 60 tangu uhuru! Nyerere alituachia viwanda vingi nyie mmejiuzia. Karne hii bado tunazingumzia matundu ya choo,Kuna shule hazina madawati wengine wanasomea chini ya miembe. Ondokeni hatuwataki tena. Tunachagua hao wapinzani watatufaa sana
Nyerere alikuwa chama Gani?Ccm mmetuletea wananchi umaskini kwa miaka 60 tangu uhuru! Nyerere alituachia viwanda vingi nyie mmejiuzia. Karne hii bado tunazingumzia matundu ya choo,Kuna shule hazina madawati wengine wanasomea chini ya miembe. Ondokeni hatuwataki tena. Tunachagua hao wapinzani watatufaa sana
View attachment 3161492
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema vyama vya upinzani haviaminiki, wala viongozi wao hawaaminiani, hivyo wagombea wake hawastahili kuchaguliwa.
Makala amesema hayo wakati akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, katika Kata ya Manzese, Jimbo la Ubungo, jijini Dar es Salaam, leo tarehe 24 Novemba 2024.
CPA Makalla alitoa wito kwa wananchi kuwachagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu.
Makalla alisema vyama hivyo vya upinzani haviwezi kuaminiwa kupewa nafasi ya kuongoza mitaa, vijiji wala vitongoji, kwa sababu viongozi wake hawana uadilifu.
"Hela tu ya majimbo walikuwa wanatafuna hawa ndiyo uwape mitaa hiyo mihuri itakuwa salama?
"Hawaaminiki wa lolote na wao wenyewe hawajiamini. Mwaka 2020 walipata wabunge 19 wa viti maalum, lakini wakawatimua, mna uhakika gani hawa wenyeviti wakichaguliwa kama hawatawatimua?," alihoji CPA Makalla.
Alisisitiza: "Wabunge wao wakawapa jina baya COVID 19 lakini licha ya kuwapa jina baya lakini ruzuku wanachukua."
Hata hivyo hawachagulikiView attachment 3161492
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema vyama vya upinzani haviaminiki, wala viongozi wao hawaaminiani, hivyo wagombea wake hawastahili kuchaguliwa...
View attachment 3161492
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema vyama vya upinzani haviaminiki, wala viongozi wao hawaaminiani, hivyo wagombea wake hawastahili kuchaguliwa.
Makala amesema hayo wakati akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, katika Kata ya Manzese, Jimbo la Ubungo, jijini Dar es Salaam, leo tarehe 24 Novemba 2024.
CPA Makalla alitoa wito kwa wananchi kuwachagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu.
Makalla alisema vyama hivyo vya upinzani haviwezi kuaminiwa kupewa nafasi ya kuongoza mitaa, vijiji wala vitongoji, kwa sababu viongozi wake hawana uadilifu.
"Hela tu ya majimbo walikuwa wanatafuna hawa ndiyo uwape mitaa hiyo mihuri itakuwa salama?
"Hawaaminiki wa lolote na wao wenyewe hawajiamini. Mwaka 2020 walipata wabunge 19 wa viti maalum, lakini wakawatimua, mna uhakika gani hawa wenyeviti wakichaguliwa kama hawatawatimua?," alihoji CPA Makalla.
Alisisitiza: "Wabunge wao wakawapa jina baya COVID 19 lakini licha ya kuwapa jina baya lakini ruzuku wanachukua."
Safi sana PachaView attachment 3161492

Wewe Mzee umeacha uchawi upambane nao?
Lahaula lakwata hii kesi nzito hii hapa sijaelewa vizuri yaan ndio kusemaje?Alisisitiza: "Wabunge wao wakawapa jina baya COVID 19 lakini licha ya kuwapa jina baya lakini ruzuku wanachukua."
Makalla ni super sana huyu MweneziView attachment 3161492
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema vyama vya upinzani haviaminiki, wala viongozi wao hawaaminiani, hivyo wagombea wake hawastahili kuchaguliwa.
Makala amesema hayo wakati akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, katika Kata ya Manzese, Jimbo la Ubungo, jijini Dar es Salaam, leo tarehe 24 Novemba 2024.
CPA Makalla alitoa wito kwa wananchi kuwachagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu.
Makalla alisema vyama hivyo vya upinzani haviwezi kuaminiwa kupewa nafasi ya kuongoza mitaa, vijiji wala vitongoji, kwa sababu viongozi wake hawana uadilifu.
"Hela tu ya majimbo walikuwa wanatafuna hawa ndiyo uwape mitaa hiyo mihuri itakuwa salama?
"Hawaaminiki wa lolote na wao wenyewe hawajiamini. Mwaka 2020 walipata wabunge 19 wa viti maalum, lakini wakawatimua, mna uhakika gani hawa wenyeviti wakichaguliwa kama hawatawatimua?," alihoji CPA Makalla.
Alisisitiza: "Wabunge wao wakawapa jina baya COVID 19 lakini licha ya kuwapa jina baya lakini ruzuku wanachukua."
Wewe unaaminika?Yeye mwenyewe haaminiki.