Tuna Sheria kuhusu mambo ya UKIMWI na ina kifungu cha adhabu kwa mtu kumwambukiza kwa makusudi mtu mwingine ugonjwa wa UKIMWI, bila kujalisha umri wa wahusika. Changamoto iliyopo siyo ya Sheria ila ya kimaadili. Ni sawa kuna matukio ya watu wazima kutembea na hawa vijana, ila hili kundi linahitaji kujengewa uelewa zaidi. Vitoto vya primary tayari vishaanza, secondary wengine ni kama wameoa na kuolewa, chuo ndio mpaka threesomes zimejaa, afu ndio wanakuambia ndom zinaondoa ladha, haya yataachaje kutokea?