Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Haya mambo ya kusifiana my shem si hapa peleka chit chat samahani km nimekuudhi..
<br />Hupendii mwenzio akisifiwa...........kumbe leo nimethibitsha ya kuwa akina dada hampendani.........................ninachosifia ni uandishi wake uliomo humu jamvini na nimeorodhesha makala zake sasa ziende wapi tena...................................samahani sana kama nimekukwaza........PHP:Haya mambo ya kusifiana my shem si hapa peleka chit chat samahani km nimekuudhi..
Mimi nilimiss tabasamu lako,usipotee smily.Asante Ruta kwa kupenda mada zangu...
nilikuja kwa kasi,nimeona nitulie nisome mazingira kwanza lol
hata mimi unanikuna na mada zako hasa ile ya' bakora za wadada walioolewa' bado imenikaa
stay blessed:smile-big:
Ungejua sina wivu shem? Hapa ndo mahala pake umeona imehamishwa?
Ungejua sina wivu shem? Hapa ndo mahala pake umeona imehamishwa?
Asante Ruta kwa kupenda mada zangu...
nilikuja kwa kasi,nimeona nitulie nisome mazingira kwanza lol
hata mimi unanikuna na mada zako hasa ile ya' bakora za wadada walioolewa' bado imenikaa
stay blessed:smile-big:
kweli aisee............ vitu vingine sijui vipiHaya mambo ya kusifiana my shem si hapa peleka chit chat samahani km nimekuudhi..
Ruta acha kuuma uma maneno haya mambo ya kwenda Arusha kupitia Singida na upo Chalinze mhh!Umenikumbusha mbali sana...........acha kuzembea hata kama wako wanaokutupia madongo usijali...............nipo kukutia moyo uendelee kuchangamsha jukwaa hili kwa ubunifu mkubwa ulionao...................HTML:Asante Ruta kwa kupenda mada zangu... nilikuja kwa kasi,nimeona nitulie nisome mazingira kwanza lol hata mimi unanikuna na mada zako hasa ile ya' bakora za wadada walioolewa' bado imenikaa stay blessed:smile-big:
You are a salacious yet introspective raconteur...................I love your artistic vision......................to be more precise..................keep the electricity in the air..............ALWAYS............no matter what...............
Umenikumbusha mbali sana...........acha kuzembea hata kama wako wanaokutupia madongo usijali...............nipo kukutia moyo uendelee kuchangamsha jukwaa hili kwa ubunifu mkubwa ulionao...................HTML:Asante Ruta kwa kupenda mada zangu... nilikuja kwa kasi,nimeona nitulie nisome mazingira kwanza lol hata mimi unanikuna na mada zako hasa ile ya' bakora za wadada walioolewa' bado imenikaa stay blessed:smile-big:
You are a salacious yet introspective raconteur...................I love your artistic vision......................to be more precise..................keep the electricity in the air..............ALWAYS............no matter what...............
Ruta acha kuuma uma maneno haya mambo ya kwenda Arusha kupitia Singida na upo Chalinze mhh!
Ruta acha kuuma uma maneno haya mambo ya kwenda Arusha kupitia Singida na upo Chalinze mhh!
hahah Uporoto,whats wrong with kuchanja mbuga if you have time ?lol:happy:
Baada ya Pauline kupotea kwenye hili jukwaa nimeamua kupitia makala zake 10 ambazo nimependezwa nazo kwa dhati..............................sijui ninyi ni zipi mlizipenda.................Here is my Pauline top TEN posts.............enjoy yourself...........
1) Hivi mie ni lesbian?
...............................
sawa kama mhusika mwenyewe umeridhika lol! lakini mwisho wa siku unaelewa hii sinema inaelekea wapi ? hahaha ! mi naomba uwe unapost hata mara moja kwa siku nilione tu hilo 'genuine smile'.hahah Uporoto,whats wrong with kuchanja mbuga if you have time ?lol:happy:
Kumbe ndo tunatakiwa tuanze hivi ngoja na mm nitajaribu hope mlengwa hataiona hii mada...... Mwaka sasa najiuliza nimuanzeje .
Thanks Pauline and Ruta teh teh teh
sawa kama mhusika mwenyewe umeridhika lol! lakini mwisho wa siku unaelewa hii sinema inaelekea wapi ? hahaha ! mi naomba uwe unapost hata mara moja kwa siku nilione tu hilo 'genuine smile'.
Naomba kwanza nikuite Ruta naogopa nikisema lote naweza jing'ata, usiwe na wasiwasi na mimi Pauline ni rafiki wa kawaida am not the competition lol!Code:sawa kama mhusika mwenyewe umeridhika lol! lakini mwisho wa siku unaelewa hii sinema inaelekea wapi ? hahaha ! mi naomba uwe unapost hata mara moja kwa siku nilione tu hilo 'genuine smile'.
Jamani Uporoto kitanda usicholala kunguni wake wakuwashiani?