iron woman Senior Member Apr 22, 2013 147 19 Mar 16, 2014 #1 jamani majina hayo Attachments ORODHA~2 (1).PDF 11.2 MB · Views: 2,120
Brother James JF-Expert Member Feb 21, 2012 233 172 Mar 16, 2014 #2 Hizi ni shortlists za majina ya walimu wa ngazi ya cheti, Diploma na Degree na sehemu waliyopangwa kikazi. Hongereni sana
Hizi ni shortlists za majina ya walimu wa ngazi ya cheti, Diploma na Degree na sehemu waliyopangwa kikazi. Hongereni sana
G Goma Son Senior Member Mar 6, 2014 161 38 Mar 16, 2014 #3 Brother James said: Hizi ni shortlists za majina ya walimu wa ngazi ya cheti, Diploma na Degree na sehemu waliyopangwa kikazi. Hongereni sana Click to expand... mkuu hayo majina ni rasmi kutoka website ya tamisemi au ni yaleyale yaliyovuja, mana mi naingia website ya tamisemi siyaoni?
Brother James said: Hizi ni shortlists za majina ya walimu wa ngazi ya cheti, Diploma na Degree na sehemu waliyopangwa kikazi. Hongereni sana Click to expand... mkuu hayo majina ni rasmi kutoka website ya tamisemi au ni yaleyale yaliyovuja, mana mi naingia website ya tamisemi siyaoni?
Brother James JF-Expert Member Feb 21, 2012 233 172 Mar 16, 2014 #5 Ni haya haya ya TAMISEMI Mkuu Goma Son said: mkuu hayo majina ni rasmi kutoka website ya tamisemi au ni yaleyale yaliyovuja, mana mi naingia website ya tamisemi siyaoni? Click to expand...
Ni haya haya ya TAMISEMI Mkuu Goma Son said: mkuu hayo majina ni rasmi kutoka website ya tamisemi au ni yaleyale yaliyovuja, mana mi naingia website ya tamisemi siyaoni? Click to expand...
J Jino 1 Member Jul 23, 2013 38 1 Mar 16, 2014 #6 me nimechoka na matangaZo yenu maana mnasema majina haya hapo then hayaonekani mana ake nn sasa
D dmosha Member Apr 9, 2012 20 2 Mar 17, 2014 #7 -- 15/03/2014 - AJIRA MPYA YA WAALIMU WAPYA KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14 Tangazo Walimu Wa Cheti (Daraja IIIA) Kwa Ajili Ya Shule Za Msingi 17,928 Walimu Wa Stashahada Kwa Ajili Ya Shule Za Sekondari 5,416 Walimu Wa Shahada Kwa Ajili Ya Shule Za Sekondari 12,67715/03/2014 - AJIRA MPYA YA WAALIMU WA SHAHADA WALIOPANGWA VYUONI MWAKA 2013/14 AU MNAWEZA TEMBELEA HAPA ( Jobs Online Tanzania: AJIRA MPYA YA UALIMU 2014 )
-- 15/03/2014 - AJIRA MPYA YA WAALIMU WAPYA KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14 Tangazo Walimu Wa Cheti (Daraja IIIA) Kwa Ajili Ya Shule Za Msingi 17,928 Walimu Wa Stashahada Kwa Ajili Ya Shule Za Sekondari 5,416 Walimu Wa Shahada Kwa Ajili Ya Shule Za Sekondari 12,67715/03/2014 - AJIRA MPYA YA WAALIMU WA SHAHADA WALIOPANGWA VYUONI MWAKA 2013/14 AU MNAWEZA TEMBELEA HAPA ( Jobs Online Tanzania: AJIRA MPYA YA UALIMU 2014 )