Majina ya vidole vya mikono na miguu

Kipanga boy

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
1,409
Reaction score
1,231
Naomba mnisaidie member wa Chama kubwa la JF.
Kwa anayejua majina ya vidole vya mikononi na miguuni anisaidie.


Ukifafanua kwa picha itapendeza zaidi.
 
Mi najua kidole gumba na kile cha kati(doko) tu......hahaaaa
 
thumb finger dole gumba
index finger kinachofata
middle finger cha kati
ring finger kinachofata cha pete
baby finger cha mwisho
 
Naomba mnisaidie member wa Chama kubwa la JF.
Kwa anayejua majina ya vidole vya mikononi na miguuni anisaidie.


Ukifafanua kwa picha itapendeza zaidi.
Mkono
1.gumba
2.shahada
3.cha kati
4.cha pete
5.kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…