Majina ya kigeni mitaani

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
30,027
Reaction score
47,695
Kulikuwa na majina ya kikoloni miji mbalimbali katika tanganyika hata baada ya uhuru. Kulikuwa na mitaa ya uhindini na uzunguni lakini sasa hakuna mitaa hiyo licha kuwa wahindi bado wapo tena ni raia wa Tanzania. Mbona hakuna raia wa kizungu mtanzania kama walivyo wahindi na waarabu?

Wazungu walienda wapi ukilinganisha kenya na uganda?

Tuache Zimbabwe na zambia(rhodesia) kuliko na wazungu hadi leo, inakuaje Kenya wana mitaa na maeneo yenye majina ya kizungu kama rift valley, west gate, tana river, mount Kenya, Mombasa county wakati Tanzania hakuna mitaa au kijiji kinachoitwa kwa lugha ya kikoloni, yako wapi masalia ya kikoloni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…