Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,106
- 173,879
HahahahahDEREVA TUANGUSHE TUONEKANE KWENYE VIDEO
HahahahahDEREVA TUANGUSHE TUONEKANE KWENYE VIDEO
Hahahahah dah kuna mambo yanachekesha mnoKuna lorry moja limeandikwa hivi, "Safari za nje tuachieni sisi"
HahahahKati ya ulizokula tamu ngapi
HahahahMavi hayana miba lakini ukiyakanyaga lazima uchechemee...
Ahaha"Kama riziki popote kafungue mgahawa chooni"
Bajaj ya boss mi napeleka hesabu,🏃🏃🏃🏃🏃mkanye mkeo, bajaj sio yangu
HahahahaMimba zahanati kitambi gym.
Hahahaha *****"ringa tena"
View attachment 416299
Hahahah"Gari baya ee! jana kapanda mkeo".
Hahahahah watu sijui wanawazaga nini"Ulivyo mkuda lazima utamaindi" iko daladala moja mwanza imechoka hiyo.
HahahahCHIZI KATOA WAZO
HahahahUKIONA CHOO NDOTONI USIKITUMIE
Ahahah eti ya Jirani tamu!Mwisho wa usharobaro ni majukumu.
Chizi katoa wazo...
Kesi ya mbuzi hakimu chui unategemea nini?
Kaushaa
Mezea basi wewe siyo wa kwanza
Iga kazi usiige matumiz
Kabadili nguo uje
Toroka uje
Popote kambi
Hapa stori tu msosi kwenu
Asali chungu
Mungu anawaona
Malipo hapa hapa
Tajiri wa kesho
Ya jirani...tamu
Msitu mjini