Waache kukamia mpira no dakika 90
Asante kwa taarifa mkuu
Yeah Timu ya Baba timu ya MamaKaribu sana mkuu, japo nimegundua una mapenzi na Yanga kama Manji😀😀😀
Hahaaaaa hapo kwenye water water ndio umenichekesha sanaWater water nipigie hao jamaa nyingiii...
Kally Ongala bado kocha wa Majimaji?Yanga itashinda kwa boa mbili...
Walitemana kama wiki mbili hivi zimepitaKally Ongala bado kocha wa Majimaji?
Dk 90Waache kukamia mpira ni dakika 90
Asante kwa taarifa mkuu
Ndio ndioDk 90