Majibu ya Sokoni

Hahaha 😂😂😂😂😂😂
 
hahaha 😂😂😂😂😂😂

brother hata mi nayo imenifurahisha hiyo tena nasikitika kwa sababu ya mi ni kibogoyo sina meno na la mwisho ni ramadhan kareem ni ombi la tusamehani pamoja na wana jamii wote wa jf kama niliwakosea na allau ya allam na tumuwombe mungu atujalie uhai hadi hapo ya siku ya eddi asanteni na jazakallah kwa pamoja wana wa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…