Poor na vyoo jee katika shule zako bado ni vya matundu ya shimo?*#UFUATILIAJI*
~ Tarehe 12/10/2018 nilitembelea mradi wa maji Mihambwe na kujionea ulivyosimama kufanya kazi kwa Takribani miaka miwili (2) na kuhaidi kuufanyia kazi.
~ Tarehe 19/10/2018 nilifanya kikao na Wanakijiji cha Mihambwe ikapatikana kamati mpya ya maji pamoja na Mwendesha mitambo mradi wa maji Mihambwe.
~ Tarehe 30/10/2018 nimetembelea kituo cha kuuzia maji cha Mdenga kilichopo kijiji cha Mihambwe na kujionea maji yakitoka. Mradi wa Maji wa Mihambwe uliokufa kwa takribani miaka 2 umefufuka ndani ya wiki 2 tu na kuanza kufanya kazi vyema. Hivi sasa Maji yanatoka.
- Gavana Emmanuel J. Shilatu
Afisa Tarafa Mihambwe
#Utekelezaji
#uongoziunaoachaalama
#MihambweMpya
#hapakazituView attachment 916422View attachment 916424
..............Mkuu hii nchi ni msiba,inasikitisha sana!Very interesting karibu miaka 60 baada ya uhuru leo unashangilia maji ya bomba.
Lakini unatambua kama robo tatu ya mwili wa binadamu ni maji?Very interesting karibu miaka 60 baada ya uhuru leo unashangilia maji ya bomba.
so....Lakini unatambua kama robo tatu ya mwili wa binadamu ni maji?
Ubarikiwe sana kwa kuwa MzalendoKwa kweli nisiwe mnafiki kwenye hili swala la maji raisi magufuli anastahili pongezi za dhati sana jamani ubungo tumeteseka sana tumenunua maji mno lakini Sasa kila nikiamka nafungua Bomba maji yanamwagika
Magufuli ubarikiwe sana Hawa walanguzi wangetumaliza
Ulishaona wapi Watu wanashangilia maji ya kisima? Akili yako imekosa hoja ya kukosoa, acha Watu wachape kaziVery interesting karibu miaka 60 baada ya uhuru leo unashangilia maji ya bomba wewe ni wa kuonea huruma.
After 60 yrs bado unasitaajabu kuona maji ya bomba.Ulishaona wapi Watu wanashangilia maji ya kisima? Akili yako imekosa hoja ya kukosoa, acha Watu wachape kazi