R Raphenry Member Joined Aug 24, 2013 Posts 17 Reaction score 4 Feb 2, 2015 #1 Tatizo la maji ni janga la kitaifa. Wananchi wasimame kutetea haki zao. Hawa viongoz watakuja kuomba kura yako na kusema wamekuletea maji mwisho wa mwaka huu. Fanya uamuzi wa busara. Tumechoka kudanganywa
Tatizo la maji ni janga la kitaifa. Wananchi wasimame kutetea haki zao. Hawa viongoz watakuja kuomba kura yako na kusema wamekuletea maji mwisho wa mwaka huu. Fanya uamuzi wa busara. Tumechoka kudanganywa