Maji meupe ukeni

Safi Maelezo mazur
 
Habari
Kama fluid discharge ya uke haina harufu mbaya basi ni kawaida. Ila despite kupata majibu humu ni vizuri kumuona Daktari na ikiwezekana ni vizuri zaidi kuonana na gynecologist (daktari wa wanawake ili kuzuia anymore complications. Asante
 
Apo uwezekano wa kua umepona ni mdogo. Ayo maji maji yanavyotoka kwa wingi na joto la dar ni rahis kukaribisha fungus. Huenda dawa walizokupa ni ndogo kulinganisha na hali ya hiyo UTI.
Pia unywe maji kwa wingi na matunda km matango na matikiti.
Get well soon
 
Kunywa maji mengi kadri uwezavyo ukienda kuoga tumia maji ya vuguvugu yenye chumvi kwa mbali kama ni uti kushnei
 
Nakushauri umwone Daktari achukue clinical features za case hiyo halafu watapima maabara,pana magonjwa kama chlamydia infections yaweza kuwa na dalili kama hizo hizo,hata kwenye vipimo saa zingine yanaweza yasibainike,bali madaktari wabobezi kwenye magonjwa hayo huweza kuyatambua kwa dalili zake.Sasa basi sio busara tukakwambia ni kawaida au sio kawaida majibu hayo yakitolewa kwenye kituo cha afya utapata furaha na amani zaidi.Kila kheri.
 
asantee sana
 
kama utapimwa tena na kuonekana na U.T.I ni vyema wakupe ushauri ya kiafya ujue namba gani ya kuondokana na hilo tatizo sababu kinga ni bora kuliko tiba. Hata ukitibiwa haina maana kuwa hutaugua tena ni vyema wakuelimishe ujue namna gani ya kujiepusha nayo
 
Pole sana Mkuu kwa maradhi.

Unaweza kunogesha maelezo na picha twa sehemu twenye tatizo?.Tafwadhali!!!
 
Nenda kamwone gynecologist.Kama hayo majimaji yanayotoka yangekuwa yanatoka na ute mweupe unaoganda Kama maziwa ya mgando ivi Basi ujue Ni yeast infection..yani Ni hivii kwenye vagina kuna microorganism wazuri ambao Ni bacteria flani na fungus wanaitwa candida albicans.asa hao fungus hawana madhara Kama wako wachache...wakizidi namba ya hao lactobacteria ndo inakuwa tatizo.Mara nyingi Kama ulikuwa unatumia antibiotics ndo yeast infection itatokea kwasababu antibiotics zinaua hao good bacterias na kuacha yeast waote kwa wingi.Unaweza kupona Kama Una immunity nzuri.Ni vizuri kumwona gynecologist kwa sababu unaweza ukawa na tatizo kubwa zaidi na inaweza Ku develop kuwa kitu hatari zaidi.Maintain hygiene,hakikisha unaweka vagina yako katika hali ya ukavu hasa unapotoka kuoga.Unitumie sukari nyingi,pombe.Tumia tangawizi,vitunguu swaum na yorghurt.
 
immunity ni tatizo
 
Chukua ushauri simple na wa kweli kabisa,juzi juzi ulikuwa na shida ya hedhi ulileta uzi humu tukakushauri,sasa hivi maji meupe,pliz inawawezekana tatizo ni kubwa zaidi ya hapo,nenda kamuone mtaalamu wa wanawake,sijui wanamuitaje mimi mwenzenu nimechelewa sikusoma!gynecologist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…