Habari?
Leo nimeyakumbuka majani tuliyokuwa tukiyaita 'kimavimavi'
Yananuka kama au kuliko kinyesi cha binadamu hasa ukiyasugua (kuyafikicha)
Tuliyatumia kwa matumizi mbalimbali utotoni.
Mwenye picha yake tafadhali aweke, pia mnaweza 'kushea' jinsi ulivyo yatumia...
Eeee, darasani vijana watundubwaliyatumia kumuweka mbali mwalimu wasiye mpenda, hahahaa, 'inachekesha sana'
decomm
Mmavimavi
Ni kweli sio yenyeweSIO HAYA
Hayo majani yaliyooneshwa kwenye picha kwa kule kwetu maji yake tunayatumia kama dawa ya tumbo.SIO HAYA
Mavunja genge hayo.Yako matunda flan hv yanapatikana sana Singida, hayo alikuwa noma tunda moja likipasuliwa darasani hakuna anaebaki
Post sent using JamiiForums mobile app
Haswaa! Nakumbuka utemini primaryMavunja genge hayo.
Yes halafu ni machungu kama chloroquine!! Hayana harufu ya maviHayo majani yaliyooneshwa kwenye picha kwa kule kwetu maji yake tunayatumia kama dawa ya tumbo.
Post sent using JamiiForums mobile app