Majangaaaaaaaaaaaaaa kudadadeki!

stresi zitakuua! hama jukwaa kama unaona una unajasho lako nenda mahakamani uwe member wa mahakama

Mwenye stress kati yangu mimi na wewe ambae ni "buza" uliyetuma hela kwa mtu ambae hata humjui na kuonesha ulivyo buza umekuja hapa kuuexpose ubuza wako bila hata chembe ya aibu?
 
katika
moja ya vipaji ulivyobarikiwa na mungu ni mipasho. hilo halina ubishi
sasa tafuta bendi ya taarabu ujiunge ukichanganya na mibangi itakuwa mwake
mwake...
hahahaha ikikukera sana hamia Mf
ukiona una jasho lako jingi hapa jf nenda mahakamani uwe member wa
mahakama
 
Mwenye stress kati yangu mimi na wewe ambae ni "buza" uliyetuma hela kwa mtu ambae hata humjui na kuonesha ulivyo buza umekuja hapa kuuexpose ubuza wako bila hata chembe ya aibu?

ukute katapeliwa huyu sasa amekuja kujifariji.......
 
..hivi.... unatuma ticket ya ndege kwa mtu usiyemjua.....(((((
Lini ulituma 50k kwa maza.....
 

Amen!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…