Yamenikuta leo!
Kuanzia kule kwa mzee Markzuuu, nikamsendia text mtoto wa kihaya, akajibu poa, uko wapi Mwanza wewe je Dar! Kila siku ikawa chat chat chat mpaka na kukeshaaa, natumiwa picha tamuuuuu mpaka kibiduli anasimama misli ya chumaaaa!
Mtoto anajua haya mambo balaa kwa chat hapo ujue, nikaingia kingi nikatoa nauli tena kwa PW nikitaka kujioneshaa! mtoto anafanya bonge la kampuni PR officer!
Amefika juzi ile hamu yote ya kuchat nikampokea kwa mbwembwe dah, mpaka ndani si unajua kwa ndege hakuna majasho mpaka kitandani jaman nilipowasha taaa hahahah nikaguna maana hii ni kopi siyo oriigino nimeliwaaa! Acha tu nitumie hii hii heeeee aliyokuwa anayasema kule kwa mzee markzuu hahahaha hata hayajui, kidogo nikatwe ulimi kwa kunyoonywa dah, stail yake kifo cha Menden tu hahaha stail zingine wapii, alisema akikaa juu nitakoma hahaha kama umekaliwa na mtoto ovyooo, game hata haijaisha kipindi cha kwanza anadai ameingia kingi mara 3 hahahaha .
Nimemrudisha stand Ubungo asubuhi ya leo amerudi na bus hahahaha maana hovyo hata yeye kajua kanivurugaaa, nimevurugwaaa hapa natafuta kabata katamu kabisaaa nile kutoa uchafu wote.
Eti alidai na pesa hahaha nikamwambia nenda jf kaangalie mada iliandikwa na majaribu inasema wanawake wote wanajiuza hehehehe kidogo azimie!
Komeni kudandia vya kwa markizuu mwenzenu nimekoma!