Majanga daah

HIMLER

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
429
Reaction score
227
Nimeamka asubuhi nimekuta gesi imeisha umeme umekatika naenda buchani dahh muuzaji mbabe anabadilisha jiwe iliusijue mizani imeelemea upande nimeenda kwenye atm nakuta salio 25000 daaa ndo kwaaaaaanza tar 5 sijui ntamalizaje huu mwezi wandugu
 
rudi nyumbani sasa hivi nasikia mke wako katoroka na kauza kila kitu ndani kwako.yule binti yako mkubwa siku hizi anajifanya kakua anavaa magauni mapana ile ni katika harakat zakuji disguise tu ana mimba.mwanao yule uliyempa ada akalipe jana alipigwa ngeta na vibaka hana hata senti
 
Nimeamka asubuhi nimekuta gesi imeisha umeme umekatika naenda buchani dahh muuzaji mbabe anabadilisha jiwe iliusijue mizani imeelemea upande nimeenda kwenye atm nakuta salio 25000 daaa ndo kwaaaaaanza tar 5 sijui ntamalizaje huu mwezi wandugu

mbona rahisi tu. bana matumizi. pikia kuni washa kibatari kula matembele mwezi utaisha tu. kazini nenda kwa mguu.
 
Sasa huo ni uzembe wako mwenyewe, tarehe 5 umebakiwa na 25000, zote uliwapelekea makaburu kuvisha maji ya ilala.
 
Sasa huo ni uzembe wako mwenyewe, tarehe 5 umebakiwa na 25000, zote uliwapelekea makaburu kuvisha maji ya ilala.

ndio ujifunze. hela zote si ulizinywa na mala.ya pale Tandale. kawaombe msaada. jitu zima akili ya kitoto
 
jifunze kazi ya kutoa mbwa bandani mchana na usiku
 
Hiyo ya hashycool ataifanya kwa mpangilio kuliko matumizi yake.
 
Hivi mama yako akiongea na shoga zake hua anawaabia nae amezaa ? si bora hata hiyo mimba ingetoka tu. ngedereee weuwe.
 
Nimeamka asubuhi nimekuta gesi imeisha umeme umekatika naenda buchani dahh muuzaji mbabe anabadilisha jiwe iliusijue mizani imeelemea upande nimeenda kwenye atm nakuta salio 25000 daaa ndo kwaaaaaanza tar 5 sijui ntamalizaje huu mwezi wandugu

umesahau sms uliyotumiwa jana...

Sasa huo ni uzembe wako mwenyewe, tarehe 5 umebakiwa na 25000, zote uliwapelekea makaburu kuvisha maji ya ilala.

kwani mshahara wenyewe ni shilingi ngapi. labda ni kima cha chini. na sikukuu hizi za mwisho wa mwaka. huo ndio uhalisia wa maisha ya mtanzania. mengine ni maigizo (usanii).
 
Nawashuku wote walionipa mawazo ya busara na wale walioni tukana pia nijua ni namna gani watu wamekua na uwezo mdogo wa kutafakari jambo
 
Watanzania sijui tukimbilie wapi tukirudi vijijini ambako nishati ni kuni bado tokomeza ujangili wakikuona na mzigo wa kuni wanazigeuza fimbo wanakutandika usipo kufa mshukuru Mungu, kama haitoshi ukuzalisha nafaka wanafunga mipaka ili ushindwe kuuza sasa mjini tabu, kijijini tabu twende wapi watanzania ?
 
Mbona ikulu haiko kijijini mnayaka niende kijijini nikafanyeje
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…