3squere JF-Expert Member Aug 2, 2011 925 181 Apr 28, 2012 #1 Chuo cha ucc jana walivamiwa na majmbazi na kuchukuliwa komputer 14 ,screen na server ya camera nipewa taarifa kwamba waliwakamata walinzi nakuwafunga kamba wakaingingiza vibajaji na kuchota computa kama wananawa vle pole sana UCC
Chuo cha ucc jana walivamiwa na majmbazi na kuchukuliwa komputer 14 ,screen na server ya camera nipewa taarifa kwamba waliwakamata walinzi nakuwafunga kamba wakaingingiza vibajaji na kuchota computa kama wananawa vle pole sana UCC