Tujikomboe Finance
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 212
- 81
Majambazi yamevamia karibu kabisa na NBC Mbagala muda huu. Jambazi moja katiwa nguvuni. Bravo Polisi maana shaba zimepigwa mbaya. Haijajulikana kama wamepora......tunafuatilia zaidi
Majambazi yamevamia karibu kabisa na NBC Mbagala muda huu. Jambazi moja katiwa nguvuni. Bravo Polisi maana shaba zimepigwa mbaya. Haijajulikana kama wamepora......tunafuatilia zaidi
daah sasa tuone kazi ya hawa police ccm sio kuuaraia wasio na hatia.
na bado hao ni pre alshaba
wenyewe wanataka uwanja wa taifa wa taifa
nyie chadema hamna kizuri hataaa! Ngoja waje kupora kwenye disco la tajiri yenu tuone kama mkiwapigia cm mtawaita "policcm"! Badala yakusapoti mapambano dhidi ya uhalifu,nyie mmekalia siasa tu! Kila kitu siasa tu, naomba siku uingiliwe na jambazi wakushughulikie barabara ndio utatafuta polichadema waje kukusaidia!