Bazee ni kitambaa ambacho tayar kimedizainiwa kiwandani tayari kwa kushonwa lakini batiki ni hutengenezwa kwa kutumia kitambaa cheupe chenye pamba 100% ili uweze kuweka rangi uitakayo. Bazee ina polyester nyingi hivyo rangi haiwezi kukamata.
NB; Hivyo vitambaa hapo juu vilikuwa vyeupe vimetiwa rangi na ndio batiki inavyotengenezwa. Karibu sana Chotera