MAISHA YA KUKAA HOSTEL NA GHETTO-CHUONI

bway hermit

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
1,380
Reaction score
2,392
Hivi kwa maisha ya chuo chuo, kukaa hostel mfano pale mabibohostel-udsm au marianyererehostel-mzumbe na yale maisha ya kuamua kukaa gheto ni yapi ambayo yako bomba zaidi?...kwa kuzingatia suala la gharama za maisha na mamb mengneyo.
 
Mabibo patamu sana,,, shida yake unaweza maliza chuo huna ata pakuanzia unarud bush kuanza lyf mpya
 
Wa hostel wanasumbua sana
Unakuta kila weekend jamaa wanakuja kuazima mageto kwa washikaji ili wagegede ,,,,wanaboa sana,,
Ningekuwa mm ningekuwa siwapi kabisa shenz zao
Aaaahhhhhh kudadek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…